PADRECELESTE.COM

NJIA YA KUPATA USAIDIZI KUTOKA KWA BABA ALIYE MBINGUNI

Sisi sote tunajua kwamba kila siku kuna matatizo tofauti ya kutatua. Kawaida tunayatatua matatizo yetu kutokana na usaidizi wa watu ambao wana vyeo vya hali ya juuama kwa urahisi, kwa watu ambao wana vipawa fulani (waganga) vya kutatua matatizo kadha bila ya kutia maanani kurudi kwa yule aliye tuumba sisi. Aliye juu, hayuko mbali na sisi, kama tutantafuta na roho ya imani, nbali na dini yoyote ambayo tunayoiamini, lakini ni kwa njia gani ambayo tutaikaribiya? Hii inategemea uaminifu wa nafsi yako, kutia nia, na kuomba kwa imani pekee yako au kwa jumia na kwa dhamiri, kumuomba Baba Mungu, Eva Maria na kumuombeleza Mungu. Maneno haya matatu yarudiwe mara kwa mara kama ambaye unazungumza na mtu anayekusikiliza. Wakati imani inapokuingia utaanza kuenda miayo na pia machozi kukutiririka machoni : Wakati huu umuombe mwenyezi Mungu atutatulie shida zetu kulingana na mahitaji yako kwa mfano namna tofauti ya uchovu, uchovu wa kila siku, kuletuaa ama (kutoka) shida ya mapenzi, kuepukkana na madawa ya kulevya, kupata kazi (kuajiriwa) kuleta furaha na masikizano katika familiaau amani kwa jumla, na pia matibabu ya magonjwa na mengine mengi. Kaitka haya yote siajabu bali ni kawaida, kuyafuata mawaidha kwa uaminifu ambayo ni kawahida katika kila mwanadamu, na kusema, Ewe Mungu, uilye mbinguni nakuomba unisaidie kupata kazi, nisaidie kuponyesha maradhi yangu na kadhalika. Na kusisitiza mara kwa mara kwa siku na kuendeleza kila siku kulingana na mahitaji yako unayoyaomba. Maombi ya michezo ya haramu (kamari) hayatosikizwa. Lakini vipi tutawezalipa mema ya mwenyezi Mungu? Kwa kuepukana na kibri (kutototosheka) kuwa tayari kutoa zaka katika sehemu ya faida yako kwa maskini (wasiojiweza). Lakini mtu asiwe na sshaka moyoni, kwani zaka utakayotoa itakuwa kidhahiri kulingana na maombi ulilioomba. Utajusikia umuhimu wakufanya jambo hili ndani ya moyo wako (nafisi yako). Utajiuliza! Ni nani maskini wa kweli? Dini tofauti hazitushawishi kwenye maelezo yao, kwa hivyo ni kwa njia gani tutaweza kufaulu? Basi inatosheleza kuomba kama ulivyo tangulia na utakapomkaribia useme : Ewe Mungu, nakuomba unielekeze (kutanbua) watu ambao wanajitaji usaidizi iliniweze kuwasaidia; basi ni kheri uwe mtulivu kwa hakika utawapata, mwenyezi Mungu bado atakupatia mitihani, basi uwe mtulivu na mwenyekuufuata. Hapo itategemea nafsi yako kuamua kwani vitendo ni muhimu. Mwenyezi Mungu ni zaidi ya kiumbe chochote duniani, na sihaki kutokumuomba, niwajibu wetu kunfahamisha shida zetu, huzuni, wasiwasi, maonevu, shida na mambo maajabu yanayotokea kila siku. Yeye aliye tuumba atatupa nguvu, mwaagaza ndani mioyo yetu, baada tumebarikiwa tusithubutu kusahau maombi yako, tusidharau wakati mwenyezi mungu atakapo tia nguvu zake na kutatua matatizo ya ilimwengu ambayo yanayoangamiza wanadamu kwajumla. Lolote linalotokea mwenyezi Mungu atatulinda na kutupa amani ndani ya mioyo yetu.
 
N.B The following page contains the above prayers in the hope that you will open your heart to Our Heavenly Father.

back